1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nafasi ya Umoja wa Afrika kwa mizozo ya sasa ya mataifa yake

Sudi Mnette
23 Februari 2024

Katika kipindi cha maoni safari hii Sudi Mnette amewaalika wataalamu wa masuala ya siasa za Afrika Saidi Nguba kutoka Tanzania, Muhamad Yusuf wa Zanzibar, Dokta Ezekiel Mutua wa Kenya na Nixon Katembo wa Afrika Kusini wakijadili dhima ya Umoja wa Afrika katika kutatua migogoro ya mataifa ya bara hilo kwa wakati huu.

https://p.dw.com/p/4cnXC