Mkutano wa masuala ya maendeleo wa Umoja wa Ulaya mjini Stockholm,Sweden | Masuala ya Jamii | DW | 22.10.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mkutano wa masuala ya maendeleo wa Umoja wa Ulaya mjini Stockholm,Sweden

Mkutano wa Umoja wa Ulaya ambao unazingatia masuala ya maendeleo na namna ya kuzikabili changamoto zilizopo umeanza leo Mjini Stockholm,Sweden.

default

Nembo ya mkutano wa maendeleo wa Umoja wa Ulaya unaofanyika mjini Sweden

Mkutano huo pia ukiangazia bara la afrika linavyoweza kuwa mshirika mwenza kwenye masuala ya maendeleo. Mkutano huo ambao umewaleta pamoja wajumbe wapatao 6,000 pamoja na watu mashuhuri wapatao 600, unajadilia masuala ya msingi ikiwemo, suala la ukaazi halali kwa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya, mabadiliko ya hali ya hewa na msuko suko wa uchumi ulioikumba dunia katika siku za hivi karibuni.

Mwandishi wetu kutoka Tanzania, George Njogopa anahudhuria mkutano huu na ametutumia taarifa ifuatayo:

Insert:

Mwandishi: George Njogopa

Mpitiaji: Grace Patricia Kabogo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com