Mkataba wa kampuni ya mafuta wabatilishwa nchini DRC | Matukio ya Kisiasa | DW | 15.07.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mkataba wa kampuni ya mafuta wabatilishwa nchini DRC

Serikali ya DRC imetangua mkataba wake na kampuni ya Tullow Oil wa uchimbaji mafuta kwenye ziwa Albert .

Kongo imesema itatafuta wateja wapya katika mpango wake wakuzalisha mafuta kwenye eneo hilo . KONGO na Uganda zilisaini mkataba wa uzalishaji mafuta kwenye eneo la pamoja la Albertine Gragen katika ziwa Albert ambalo ni eneo la mpakani baina ya nchi mbili hizo.


Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo
Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com