1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Etienne Tshisekedi

Etienne Tshisekedi alitumia sehemu kubwa ya maisha yake katika siasa, kwanza kama mshirika aliegeuka kuwa adui wa dikteta Mobut Sese Seko, na kisha kama hasimu wa himaya ya kina Kabila ya Laurent na Joseph Kabila.

Tshisekedi alifariki dunia Febrauri 1, 2017 nchini Ubelgiji alikokuwa maepelekwa kwa ajili ya matitabu, akiwa na umri wa miaka 84. Mwanaye Felix Tshisekedi alichaguliwa kurithi mikoba yake ya uongozi wa chama cha UDPS. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusiana na Etienne Tshisekedi.

Onesha makala zaidi