1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mshauri wa Katumbi atuhumiwa kutaka kumpindua Tshisekedi

Jean Noel Bamweze6 Juni 2023

Mshauri maalum wa mpinzani Moïse Katumbi, aliyekamatwa Jumanne iliyopita, anatuhumiwa kupanga kumpindua raïs Félix Tshisekedi ili kumweka rais kutoka mkoani Katanga aiongoze nchi hiyo.

https://p.dw.com/p/4SFIy