Milango ya Zanzibar: Utambulisho wa utamaduni wa Bahari ya Hindi
12 Juni 2011Matangazo
Katika makala hii, Sudi Mnette anazungumzia ufundi na utaalamu wa utengenezaji wa milango ya Zanzibar, ambayo imepitia katika awamu mbali mbali za kihistoria katika eneo hili upwa wa Afrika ya Mashariki.
Mtayarishaji/Msimulizi: Sudi Mnette
Mhariri: Othman Miraji