Mikataba ya utumiaji wa misitu nchini DRC yabatilishwa | Masuala ya Jamii | DW | 08.10.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Mikataba ya utumiaji wa misitu nchini DRC yabatilishwa

Serikali ya DRC imebatilisha mikataba yote ya utumiaji misitu ya nchi hiyo iliosainiwa miaka ya nyuma.

Msitu nchini Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo

Msitu nchini Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo

Katika kuboresha hali ya mazingira huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC), mikataba 156 iliyosainiwa miaka iliyopita kwa ajili ya utumiaji ya misitu ya Congo katika eneo la hekta milioni 20 imebatilishwa, hatua inayolenga kuboresha hali ya mazingira nchini humo.

Mwandishi wetu kutoka Kinshasa Salehe Mwanamilongo ametutumia taarifa ifuatayo.
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com