Mauaji ya kutisha dhidi ya polisi Marekani | Anza | DW | 08.07.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Mauaji ya kutisha dhidi ya polisi Marekani

Askari polisi watano weupe mjini Dallas, Marekani wameuawa na wengine sita kujeruhiwa wakati wa maandamano ya kupinga mauaji ya polisi dhidi ya Wamarekani weusi. Wanajeshi watiifu kwa mahasimu wa Sudan Kusini wapigana mjini Juba, Askari watano wauawa kuelekea maadhimisho ya uhuru wa nchi hiyo. Na Ufaransa yasherehekea ushindi wa kwanza mkubwa dhidi ya Ujerumani katika kipindi cha miaka 58.

Tazama vidio 01:30
Sasa moja kwa moja
dakika (0)