1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matokeo ya uchaguzi wa Tanzania

2 Novemba 2010

Uchaguzi kwa upande wa Zanzibar umemalizika kwa kutokea sura mpya ya kisiasa katika mtazamo wa baraza la wawakilishi visiwani.

https://p.dw.com/p/PwLf
Wananchi wa chama cha CUF walipokuwa wakisubiri matokeo ya uchaguziPicha: AP

Huku chama tawala CCM kikishindwa kuvunja ngome ya CUF huko Pemba wakati upinzani umefanikiwa kuongeza viti kisiwani Unguja.

Tunawaletea ripoti na mahojiano mbalimbali kuhusu uchaguzi huu.