1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 14.10.2018

Yusra Buwayhid
14 Oktoba 2018

Jimbo la Bavaria la Ujerumani linafanya uchaguzi wa bunge leo hii unaotarajiwa kuwa pigo kwa washirika wa kansela Angela Merkel wa chama cha Christian Social Union, CSU. Uturuki yasema ina sauti iliyorikodi mauaji ya mwandishi habari wa Kisaudi Jamal Khashoggi. Somalia yafanya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu shambulizi la bomu la mjini Mogadishu lolosababisha vifo vya watu 500.

https://p.dw.com/p/36WDJ