1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Christian Social Union (CSU)

Chama cha kihafidhina na CSU ni chama cha jimbo la Bavaria lililopo kusini mwa Ujerumani, na kinatoa mchango muhimu kwa ngazi ya shirikisho kama chama ndugu na chama cha CDU.

Chama cha CSU huwa na wingi wa uhakika wa karibu asilimia 50 jimboni Bavaria. Umri wa wastani wa wanachama wake 147,000 ni miaka 59, wengi wao wanaishi vijijini. Viongozi wa CSU wanajulikana kwa mfumo wao wa kufuata fikra za umma kuhusu unywaji pombe, wanafuata sera zafamilia za kihafidhina kwa kina mama kubalia nyumbani, na kupinga ndoa za jinsia moja, baadhi yao wanaupinga Umoja wa Ulaya, na viongozi wa chama hicho wanataka madereva wa kigeni walipie kwa kutumia barabara za Ujerumani. Ukurasa huu unakukusanyia maudhui za karibuni za DW kuhusu chama cha CSU na mwenyekiti wake Horst Seehofer.

Onesha makala zaidi