1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Horst Seehofer

Horst Lorenz Seehofer ni mwanasiasa wa Ujerumani na mwenyekiti wa chama cha Christian Social Union CSU tangu mwaka 2008, na waziri wa mambo ya ndani, ujenzi na jamii tangu 2018 chini ya Kansela Angela Merkel.

Seehofer alichaguliwa kwa mara ya kwanza katika bunge la Ujerumani Bundestag mwaka 1980, na amehudumu katika nafasi mbalimbali za uwaziri kuanzia mwaka 1992. Alikuwa waziri mkuu wa jimbo la Bavaria hadi 2018 alipoteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani, ujenzi na jamii. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Horst Seehofer.

Onesha makala zaidi