1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Bavaria

Bavaria ni jimbo la shirikisho la Ujerumani uliopo kusinimagharibi mwa nchi. Ni mkoa mkubwa kuliko yote, unaochukua thuluthi tano ya eneo zima la Ujerumani.

Bavaria ina idadi kubwa ya wakaazi wapatao milioni 12.6. Mji wake mkuu na mkubwa kuliko yote ni Munich, ambao pia ni mji wa tatu kwa ukubwa Ujerumani. Chama cha kihafidhina cha Christian Social Union (CSU) ndio kinachoongoza katika mkoa huwo tangu 1945.

Onesha makala zaidi