1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 29.09.2018

Grace Kabogo
29 Septemba 2018

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anaendelea na ziara yake rasmi nchini Ujerumani // Viongozi wa mataifa wanaendelea kukutana mjini New York katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambalo limeitishwa kwa mara ya 73 // Mwaka mmoja baada ya kushindikana jitihada za Wakurdi wa Iraq za kujitangazia uhuru kamili, kesho watashiriki kwa mara nyingine tena katika zoezi la kupiga kura

https://p.dw.com/p/35ggp