1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaSomalia

Somalia yajiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC

Zainab Aziz
2 Desemba 2023

Somalia ni mwanachama mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, nchi hiyo sasa inakuwa mwanachama wa nane kwenye jumuiya hiyo. Mbali na Somalia kukabiliwa na migogoro ya kiusalama na kiuchumi, je zipi faida au changamoto za nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kujiunga na EAC? Wataalamu kwenye Maoni meza ya duara wanajadili hilo. Mwenyekiti ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4Zhyx