You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Picha: DW
Zainab Aziz
Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Zainab Aziz
Taarifa zilizoonesha na Zainab Aziz
Matokeo ya uchaguzi wa Ethiopia kuuthibitisha uongozi uliopo
Ethiopia ni nchi ya pili yenye idadi kubwa ya watu barani Afrika.
Kufungwa mpaka wa Uganda na DR Kongo wafanyabiashara walia
Kufungwa mpaka wa Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wafanyabiashara wapata hasara kubwa.
China na Urusi zasisitiza uhusiano wao wa karibu
Rais wa Urusi amefanya ziara nchini China mara baada ya kumalizika ziara ya Rais wa Marekani Donald Trump nchini humo.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Zainab Aziz
Taarifa na Zainab Aziz
Matangazo ya Jioni 07.06.2026
Matangazo ya Jioni 07.06.2026
Watu watano wameuawa kwenye mashambulio ya anga yaliyofanywa na jeshi la Israel katika Ukanda wa Gaza. Zelensky aishtumu Urusi kwa kulenga kwa makusudi kinu cha nyuklia cha Chernobly. Umoja wa Ulaya watuma msaada wa dharura katika eneo la Bunia nchini Kongo. Timu ya soka ya Iran kuruhusiwa kuingia Marekani siku za kucheza mechi zao tu.
Matangazo ya Mchana 07.06.2026
Matangazo ya Mchana 07.06.2026
Wizara ya ulinzi ya Marekani, imeongeza kiwango cha tahadhari kuhusu vitisho vya ujasusi wa kigeni vinavyohusishwa na Israel. Maafisa nchini Ukraine wamesema, mashambulizi ya droni ya Urusi yamesababisha vifo vya watu wawili nchini humo. Eneo la Tigray nchini Ethiopia lashambuliwa kwa droni
Matangazo ya Jioni: 06.06.2026
Matangazo ya Jioni: 06.06.2026
Iran imevurumisha makombora kuwalenga washirika wa Marekani, Bahrain na Kuwait baada ya mashambulizi mapya ya Marekani dhidi yake. Ukraine yaushambulia kwa droni mji wa St. Petersburg nchini Urusi. Papa Leo XlV aanza ziara ya wiki moja nchini Uhispania ametoa wito kwa viongozi wa dunia wa kupunguza mgawanyiko.
Matangazo ya Mchana: 06.06.2026
Matangazo ya Mchana: 06.06.2026
Wanajeshi wa Lebanon wauawa katika mashambulio ya anga ya Israel. Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetahadharisha juu ya mamilioni ya watu wanaokabiliwa na njaa kutokana na vita vya Iran vilivyosababisha kupanda kwa bei za mafuta duniani. Zaidi ya Wanigeria 1,000 wataka kurejeshwa nyumbani kwa hiari kutoka Afrika Kusini.
Wapinzani walalamika kuhusu uchaguzi Ethiopia
Wapinzani walalamika kuhusu uchaguzi Ethiopia
Chama cha PP cha Waziri Mkuu Abiy Ahmed kinatarajiwa kupata wingi wa viti.
Marekani na Iran zalaumiana kwa mashambuliano mapya
Marekani na Iran zalaumiana kwa mashambuliano mapya
Iran imesema misimamo inayokinzana ya Marekani inatatiza kufikiwa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo