London. Shirika la ndege la Uingereza kuanza tena safari zake. | Habari za Ulimwengu | DW | 23.12.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

London. Shirika la ndege la Uingereza kuanza tena safari zake.

Shirika la ndege la Uingereza limesema kuwa linalenga kusafirisha asilimia 95 ya wasafiri kwenda na kutoka katika uwanja wa ndege wa Heathrow kama ilivyopangwa leo Jumamosi.

Uwanja mkubwa kabisa wa ndege mjini London umefunikwa na ukungu kwa muda wa siku tatu, na kusababisha safari za ndege kukatishwa na mamia kwa maelfu ya wasafiri kukwama.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com