Kuelekea uchaguzi mkuu wa Rwanda | Media Center | DW | 02.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Kuelekea uchaguzi mkuu wa Rwanda

Marekani yamshutumu Rais Nicolas Maduro kutokana na kuzorota afya za viongozi wawili wa upinzani waliokamatwa. Ujerumani na Ufaransa kuzishawishi nchi nyingine za Ulaya kuunga mkono vita dhidi ya ugaidi katika ukanda wa Sahel. Rwanda imeingia dakika za lala salama kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Ijumaa wiki hii. Papo kwa Papo 02.08.2017.

Tazama vidio 01:34
Sasa moja kwa moja
dakika (0)