Kubwagwa kwa mawaziri wa CCM kwamaanisha nini? | Matukio ya Kisiasa | DW | 27.10.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Kubwagwa kwa mawaziri wa CCM kwamaanisha nini?

Mawaziri watano wa Chama cha Mapinduzi CCM wameshindwa kwenye uchaguzi katika majimbo yao. Viongozi hao ni Stephen Wasira, Anne Kilango, Aggrey Mwanri, Christopher Chiza na Stephen Kebwe.

Sikiliza sauti 03:15

Ripoti ya George Njogopa kutoka Dar es Salaam

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com