Kongamano la kimataifa la shirika la safari za Baharini (IMO) mjini Nairobi | Matukio ya Kisiasa | DW | 16.05.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Kongamano la kimataifa la shirika la safari za Baharini (IMO) mjini Nairobi

Kongamano la kimataifa la shirika za baharini,International Maritime Organisation,IMO, linaendelea jijini Nairobi,Kenya, kwa lengo la kuidhinisha mkataba wa uondoaji wa mabaki ya meli zinazozama baharini.

Kongamano hilo linafanyika kwa mara ya kwanza barani Afrika na imewachukua washikadau wa sekta ya usafiri wa baharini takriban 30 kuratibu kielelezo cha mkataba huo.

Mwandishi wetu wa Nairobi, Alfred Kiti anaripoti.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com