Kompyuta na Mtandao wa Internet –Kipindi 5 – Mtandao wa Internet kwa utafiti
11 Novemba 2010
Katika kipindi hiki ,John atajifunza kutumia zaidi mtandao wa Internet kama chombo cha kufanyia utafiti.Ushauri unatolewa na Profesa Daniel kutoka chuo cha mafunzo ya teknolojia.