Kansela Merkel ataendelea na sera za serikali ya mseto | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 23.11.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Kansela Merkel ataendelea na sera za serikali ya mseto

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesisitiza kuwa anadhamiria kuendelea na serikali ya mseto pamoja na Naibu mpya wa Kansela,Frank-Walter Steinmeier.Katika mahojiano mbali mbali,Merkel amesema anataka kutekeleza matakwa ya wapiga kura.
Wakati huo huo,Kansela Merkel amesema,masuala yatakayopewa kipaumbele miaka miwili ijayo ni kupunguzwa kwa ukosefu wa ajira pamoja na kuimarisha utafiti na uangalizi wa watoto.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com