KABUL: Watu 3 wapoteza maisha katika shambulio la bomu | Habari za Ulimwengu | DW | 16.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

KABUL: Watu 3 wapoteza maisha katika shambulio la bomu

Hadi watu 3 wameuawa kwa mripuko wa bomu lililotegwa ndani ya gari,katika mji mkuu wa Afghanistan,Kabul.Shambulio hilo pia liliwajeruhi watu wengine 5 baada ya mshambulizi aliejitolea muhanga kujiripua karibu na msafara wa magari ya vikosi vya NATO vinavyolinda amani nchini Afghanistan.Wanamgambo wa Kitaliban wamedai kuwa wao ndio waliohusika na shambulizi hilo.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com