Jeshi la Israel lafanya hujuma nyingine katika eneo la Gaza | Habari za Ulimwengu | DW | 21.12.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Jeshi la Israel lafanya hujuma nyingine katika eneo la Gaza

GAZA:

Jeshi la Israel limesema kuwa vikosi vyake vimewauwa wapiganaji wa Kipalestina 7 katika eneo la Gaza.Israel inasema imefanya hivyo kwa ajili ya kuzuia uvurumishwaji wa maroketi hadi Israel.Siku ya alhamisi maroketi matatu yalivurumishwa katika mji wa mpaka wa Israel.Mapema wiki hii,hujuma kadhaa za ndege za Israel,zimewauwa wapiganaji 12 katika eneo la Gaza,mkiwemo makamanda wawili wandamizi wa kundi la Islamic Jihad.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com