Je unafikiri ni timu zipi zitang′aa zaidi katika AFCON? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 21.06.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Je unafikiri ni timu zipi zitang'aa zaidi katika AFCON?

Michuano mikubwa ya soka barani Afrika inafanyika Cairo Misri huku timu 24 zikishiriki. Je unafikiri, ni timu zipi zitaweza kusonga mbele kutoka awamu ya makundi

Tazama vidio 01:17