Hali ni tete Burundi baada ya mashambulio la maguruneti mwishoni mwa juma | Matukio ya Kisiasa | DW | 14.06.2010
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Hali ni tete Burundi baada ya mashambulio la maguruneti mwishoni mwa juma

Mgombea wa chama tawala CNDD-FDD hana mpinzani katika uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika nchini Burundi baada ye mwaka huu

default

Mgombea wa chama tawala, CNDD-FDD, rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza

Nchini Burundi bado kuna halai ya wasi wasi kufuatia mashambulio ya mwishoni mwa wiki ambapo mtu mmoja aliuawa na wengine saba kujeruhiwa.

Mashambulio hayo ya guruneti yalitokea katika maeneo mbalimbali katika mji mkuu wa nchi hiyo Bujumbura, na ni katika wakati ambapo uchaguzi wa rais ukikaribia.

Kutoka Bujumbura Hamida Issa ametutumia taarifa ifuatayo

Mwandishi:Hamida Issa

Mhariri:Liongo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 14.06.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/NqXa
 • Tarehe 14.06.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/NqXa

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com