Hali nchini Misri baada ya Shambulio la Bomu lililotokea katika kanisa la Coptic | Matukio ya Kisiasa | DW | 05.01.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Hali nchini Misri baada ya Shambulio la Bomu lililotokea katika kanisa la Coptic

Tangu lile shambulio la bomu la hivi karibuni liloelekezwa dhidi ya kanisa la madhehebu ya Coptic mjini Alexandria, nchini Misri, na kuuwa watu 21, hali nchini Misri, na hasa katika mji mkuu wa kairo, si shuwari.

default

Waandamanaji wa madhehebu ya Coptic mjini Alexandria baada ya shambulio la bomu.

Waswasi zaidi unaelekezwa keshokutwa, ijumaa, siku ya kuadhimisha sherehe za Krismasi za watu wa madhehebu ya Kikristo ya Coptic. Vipi hali ya usalama ilivyo huko Kairo; ni suali Othman Miraji alilolielekeza kwa mwandishi wetu wa huko Kairo, Ismail Mfaume...

Mhariri: Othman Miraji

Mpitiaji: Josephat Charo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com