Benki ya dunia yaipiga jeki Tanzania kuhusu Umeme | Habari za Ulimwengu | DW | 14.12.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Benki ya dunia yaipiga jeki Tanzania kuhusu Umeme

Benki kuu ya dunia imetoa mkopo wa zaidi ya dola za kimarekni million110 kwa Tanzania.Pesa hizo ni za kuimarisha huduma za umeme nchini humo. Mradi wa kuendeleza umeme utaimarisha huduma za umeme katika jiji la Dar-es-salaam,Arusha na Kilimanjaro.Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya Benki kuu. Ya dunia.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com