1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Nishati mbadala

Nishati mbadala ni chanzo chochote cha nishati ambacho ni mbadala kwa mafuta ya visukuku. Ni nishati ambazo hazikaushi rasilimali za dunia na hazichafui mazingira.

Nishati hizi mbadala zinalenga kushughulikia wasiwasi kuhusu nishati ya visukuku, kama vile utaoaji wake wa viwango vikubwa vya gesi ya ukaa, ambayo inachangia pakubwa kuongezeka kwa joto la dunia. Nishati ya majini, umeme utokanao na maji, upepo, joto la ardhini na mwanga wa jua vyote hivi ni vyanzo vya nishati mbadala.

Onesha makala zaidi