Argentina na Brazil kujenga mtambo wa nishati ya nyuklia | Habari za Ulimwengu | DW | 23.02.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Habari za Ulimwengu

Argentina na Brazil kujenga mtambo wa nishati ya nyuklia

BUENOS AIRES:

Argentina na Brazil zimekubali kushirikiana zaidi na pamoja,zinataka kujenga mtambo wa kuzalisha nishati ya nyuklia.Rais wa Argentina Bibi Cristina Fernadez de Kirchner na rais mwenzake wa Brazil Lula da Silva wameamua kuunda kampuni ya pamoja itakayorututubisha madini ya Uranium.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com