1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Argentina

Argentina ni nchi iliyoko kusini-mashariki mwa mwa Bara la Amerika Kusini. Ndiyo nchi ya nane kwa ukubwa duniani. Mji wake mkuu ambao ndiyo mkubwa zaidi ni Buenos Aires.

Argentina ni jamhuri ya shirikisho na nchi ya pili duniani yenye wakaazi wengi wanaozungumza Kihispania. Pia ndiyo chumi ya pili kwa ukubwa Amerika Kusini, na ni mwanachama mwanzilishi wa Umoja wa Mataifa, WTO na Mercosur, miongoni mwa mashirika mengine ya kimataifa. Ni nchi tajiri ya maliasili na ina viwanda vya aina tofauti. Ukurasa huu unakusanya mada mbalimbali kuhusu Argentina.

Onesha makala zaidi