1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Nishati jadidifu

Iwe vyanzo vya upepo, jua au maji, sekta ya nishati jadidifu inazidi kustawi duniani kote.

Vyanzo vya nishati jadidifu ni biashara kubwa duniani - na kwa kawaida ni rafiki wa mazingira, hasa kwa ajili ya kuzuwia mabadiliko zaidi ya tabianchi. Ingawa hata "nishati ya kijani" ina gharama la ekolojia. Na namna gani ya kufanikisha vyanzo vya nishati jadidifu duniani? Dw inakuwasilishia maudhui kuhusu mada ya nishati jadidifu.

Onesha makala zaidi