Afrka na Ulaya zakutana
29 Novemba 2010Matangazo
Mkutano wa tatu wa Afrika na Ulaya unafanyika hii leo mjini Tripoli, Libya. Mada kuu za mkutano huo utakaohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Afrika na Ulaya ni pamoja na uwekezaji, ukuaji wa uchumi na uundwaji wa ajira pamoja na uhamiaji wa Waafrika kuelekea nchi za Ulaya. Katika mahojiano haya, Grace Kabogo anazungumza na mwandishi habari aliyeko Tripoli, Yusuf Mussa Suleiman, ambaye anaelezea malengo hasa ya mkutano huu.
Mahojiano: Grace Kabogo/Yusuf Suleiman
Mhariri: Miraji Othman