1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.09.2018- Matangazo ya Jioni Saa 12:00 (Afrika Mashariki)

SK2 / S02S23 Septemba 2018

Shughuli ya mazishi ya watu waliofariki dunia kutokana na ajali ya feri ya MV Nyerere nchini Tanzania imeanza leo, huku idadi ya vifo imeongezeka hadi watu 223.// Kiongozi wa chama cha upinzani, nchini Uingereza, angependa uchaguzi mkuu ufanyike badala ya duru ya pili ya kura ya maoni. // Serikali ya Ujerumani, imeshauriwa kuwa inapaswa kuelekeza nguvu zake kusuluhisha matatizo ya Umoja wa Ulaya

https://p.dw.com/p/35NA7