1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.01.2020 - Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S18 Januari 2020

Rais wa Urusi amesema atahudhuria mkutano wa amani ya Libya mjini Berlin. Mamlaka za afya zimesema Kirusi cha ajabu kilichozuka china kinaweza kusambaa ulimwenguni. Mexico yatuma wanajeshi kuzuia msafara wa wahamiaji.

https://p.dw.com/p/3WOzy