Waziri wa ushirikiano wa kiuchumi na misaada ya maendeleo wa Ujerumani ziarani Rwanda | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 08.01.2010
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Waziri wa ushirikiano wa kiuchumi na misaada ya maendeleo wa Ujerumani ziarani Rwanda

Waziri wa maendeleo wa Ujerumani Dirk Niebel yuko mjini Kigali, Rwanda katika ziara yake ya kwanza,tokea achukue wadhifa huo.

default

Waziri wa Ushirikiano wa kiuchumi na misaada ya maendeleo Bw.Dirk Niebel

Waziri Niebel na ujumbe wake mchana huu anatembela Hospitali kuu ya mjini Kigali kabla ya kukutana na Rais Paul Kagame, pamoja na wanadiplomasia na wawakilishi wa mashirika ya misaada ya Ujerumani nchini Rwanda.

Mwandishi wetu wa mjini Kigali Daniel Kaguba anaandamana na ujumbe na muda mfupi uliyopita na Lazaro Matalange amezungumza naye moja kwa moja kujua kile ambacho Waziri Niebel na ujumbe wake walichokifanya.

Mhariri: Aboubakary Liongo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com