WASHINGTON:Rais Bush hatojifungamanisha na azimio la Irak | Habari za Ulimwengu | DW | 16.02.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

WASHINGTON:Rais Bush hatojifungamanisha na azimio la Irak

Rais George W.Bush wa Marekani amesema hatojifungamanisha na azimio litakalopitishwa na bunge kuhusu Irak,isipokuwa mswada wa azimio unaohusika na ombi la kuongeza pesa kwa ajili ya vikosi vya Marekani nchini Irak.Leo Baraza la Wawakilishi la Marekani linapiga kura na kesho Jumamosi,Seneti pia itapiga kura kuhusu azimio hilo ikiwa Marekani ipeleke wanajeshi 21,500 wengine nchini Irak.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com