WASHINGTON: Robert Zoellick aidhinishwa rais wa Benki ya Dunia | Habari za Ulimwengu | DW | 26.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

WASHINGTON: Robert Zoellick aidhinishwa rais wa Benki ya Dunia

Bodi ya magavana wa Benki Kuu ya Dunia,kwa kauli moja imepiga kura kumuidhinisha Mmarekani,Robert Zoellick kama rais mpya wa wa benki hiyo.Paul Wolfowitz aliekuwa rais wa Benki Kuu ya Dunia, alikubali kuondoka madarakani mwezi uliopita,baada ya jopo maalum kuamua kuwa kiongozi huyo alikwenda kinyume na sheria za benki, alipompandisha cheo mpenzi wake na kumpatia nyongeza kubwa ya mshahara takriban miaka miwili iliyopita.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com