1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Robert Mugabe

Robert Gabriel Mugabe ndiyo rais wa sasa wa Zimbabwe, akihudumu katika nafasi hiyo tangu Desemba 22, 1987.

Kama moja wa viongozi wa uasi dhidi ya utawala wa weupe wachache, aliteuliwa kuwa waziri mkuu – akiwa ndiye mkuu wa serikali, mwaka 1980, na alihudumu katika nafasi hiyo hadi mwaka 1987, alipokuwa Rais wa kwanza wa Zimbabwe. Mugabe ameongoza chama cha Zimbabwe African National Union – Patriotic Front ZANU-PF tangu mwaka 1975.

Onesha makala zaidi