WASHINGTON: Bush na Olmert watafuta njia za kumuunga mkono Abbas | Habari za Ulimwengu | DW | 19.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

WASHINGTON: Bush na Olmert watafuta njia za kumuunga mkono Abbas

Siku moja baada ya Washington kurejesha msaada wa moja kwa moja kwa serikali ya Wapalestina,Rais George W.Bush wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel,Ehud Olmert watakutana kutafuta njia za kumuunga mkono Rais wa Wapalestina,Mahmoud Abbas. Viongozi hao wawili wanaamini kuwa serikali mpya ya dharura ya Wapalestina,huenda ikatoa nafasi ya kujadili suluhisho kati ya Waisraeli na Wapalestina.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com