1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Muziki

Wanamuziki wa Afrika Mashariki Jukwaani Ujerumani

Sudi Mnette5 Septemba 2018

Katika kipindi cha "Karibuni" msikilize Lucie Ilado mwandishi habari wa sanaa na muziki kutoka Kenya, ambae ana lengo la kupanuwa wigo wa muziki asilia wa eneo hilo kwenye jukwaa la kimataifa.

https://p.dw.com/p/34N8S