Wanajeshi 2 wa Denmark wafariki kutokana na majeraha yao | Habari za Ulimwengu | DW | 30.11.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Wanajeshi 2 wa Denmark wafariki kutokana na majeraha yao

Wanajeshi 2 wa Denmark waliokuwa wakitumika nchini Afghanistan wamefariki kutokana na majeraha waliyopata wakati wa mapigano na wanamgambo wa Taliban.Mapambano hayo yalizuka, wanajeshi hao walipokuwa wakipiga doria katika Bonde la Juu la Geresk katika wilaya ya machafuko ya Helmand.Denmark imepoteza wanajeshi 9 nchini Afghanistan,tangu kupeleka vikosi vyake nchini humo mwaka 2002.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com