1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unakumbuka habari za uongo zilizotapakaa mitandaoni 2017?

Lilian Mtono
2 Januari 2018

Katika makala ya Sema Uvume utasikia kuhusu habari za uongo zilizovuma mitandaoni kwa mwaka wa 2017. Teknolojia nayo inakua kwa kasi kubwa! Huko China kumegundulika mashine ya kutengeneza tambi kwa sekunde 60 tu. Huna haja ya kupika wala kusubiri zaidi. Amina Aboubakar atakujuza zaidi.

https://p.dw.com/p/2qD6d