Umoja wa Mataifa hautoweza kusimamia uchaguzi Zanzibar | Matukio ya Kisiasa | DW | 15.05.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Umoja wa Mataifa hautoweza kusimamia uchaguzi Zanzibar

Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema haitawezekana uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 wa visiwa hivyo kusimamiwa na Umoja wa Mataifa (UN) kutokana na kuwa hatua hiyo ni kwenda kinyume na katiba ya Zanzibar.

Uchaguzi Zanzibar mwaka 2005

Uchaguzi Zanzibar mwaka 2005

Tamko hilo limetolewa leo na Mkurugenzi wa Tume hiyo, Salim Kassim Ali, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari visiwani Zanzibar kuhusiana na matayarisho ya uchaguzi mdogo katika Jimbo la Magogoni unaotarajiwa kufanyika Mei 23 mwaka huu.

Mwandishi wetu mjini Zanzibar Salma Said ana ripoti zaidi.

Mwandishi: Salma Said

Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com