Hadi leo, bado tatizo la ndoa za kulazimishwa linaendelea kushamiri nchini Ujerumani, hasa kwa wahamiaji kutoka mataifa yanayofuata utamaduni wa Mashariki, na sasa serikali ya Berlin imedhamiria kupambana na tatizo hili.
https://p.dw.com/p/RZm0
Matangazo
Oummilkheir Hamidou anaangazia kukua kwa tatizo la ndoa za kulazimishwa katika jamii ya Ujerumani na hatua za serikali kupambana nalo.