1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Stasi

Ukizungumzia (GDR)-Jamhuri ya Kidemokrasi ya Ujerumani, jambo la kwanza linalokujia kichwani ni Idara hiyo ya Usalama (STASI)-ufupisho wa "Wizara ya Usalama wa dola.

"STASI" ilikuwa Idara ya upelelezi iliokuwa na askari kanzu wengi na zana nyingi za kuwachunguza na kuwapeleleza wananchi wake wenyewe. Ilikuwa pia na tawi la kutisha ambalo jukumu lake kuu ni kumfanyia ujasusi adui mkuu wa kinadharia na usoni kabisa ilikuwa Ujerumani Magharibi. Azma ilikua kuwapandikiza ndani yake majasusi kadhaa.Baadhi ya wakati hii ilifanikiwa na wakati mwengine haikufanikiwa sana.

Onesha makala zaidi