1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 60 tangu kuanza kujengwa ukuta wa Berlin, Ujerumani

Sudi Mnette
13 Agosti 2021

Imetimia miaka 60 tangu kuanza kujengwa kwa ukuta wa Berlin Agosti 13, 1961. Ukuta huo uliugawanya rasmi mji wa Berlin kati ya upande wa Mashariki na Magharibi hadi 1989 ulipovujwa. Je, siku hii inakumbusha nini katika historia ya Ujerumani?

https://p.dw.com/p/3ywkJ