Ujerumani na Ubelgiji wakaribia kufuzu Kombe la Dunia | Media Center | DW | 11.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ujerumani na Ubelgiji wakaribia kufuzu Kombe la Dunia

Ujerumani kujikatia tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia mwakani huko Qatar usiku wa Jumatatu iwapo wataibwaga Macedonia Kaskazini, Kocha wa Uhispania Luis Enrique afurahia licha ya timu yake kushindwa na Ufaransa katika fainali ya Nations League na Tanzania yaweka hai matumaini yake ya kufuzu Kombe la Dunia.

Sikiliza sauti 09:47