1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Ubelgiji

Ubelgiji, iliyopo Ulaya Magharibi, ni taifa la Kifalme linalopakana na Ufaransa, Uholanzi, Ujerumani, Luexembourg na bahari ya Kaskazini. Ni taifa dogo lenye msongano wa watu.

Ubelgiji ndiyo yaliko makao makuu ya Umoja wa Ulaya pamoja na makao makuu ya Jumuiya ya Kujihami NATO. Ukurasa huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu Ubelgiji.

Onesha makala zaidi