Uchaguzi wa wabunge nchini Rwanda | Matukio ya Kisiasa | DW | 12.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

Uchaguzi wa wabunge nchini Rwanda

Rwanda inajiandaa kwa uchaguzi wa wabunge uliopangwa kufanyika wiki mwanzoni mwa wiki ijayo.

Uchaguzi nchini Rwanda mwaka 2003

Uchaguzi nchini Rwanda mwaka 2003

Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi nchini humo maandalizi yote yako tayari na waangalizi wa kimataifa kutoka jumuiya ya Ulaya wanatarajiwa kushiriki katika zoezi hilo.Itakumbukwa kwamba Rwanda ilifanya uchaguzi wa kidemokrasia mwaka 2003 baada ya mauaji ya halaiki ya mwaka 1994.

Ili kupata picha kamili Thelma Mwadzaya amezungumza na mwandishi wetu wa Kigali Christopher Karenzi
Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com